Ratiba kombe la Sportpesa Super Cup 2018

Ratiba kombe la Sportpesa Super Cup 2018

0

Ratiba kombe la Sportpesa Super Cup 2018

SportPesa Super Cup 2018 Kwa Mwaka Huu itashirikisha timu 8, 4 kutoka Tanzania na 4 kutoka Nchi mwenyeji Kenya.

Yanga atafungua michuano June 3 kwa kucheza na Homeboys huku akifabikiwa kushinda atacheza nusu fainali na mshindi kati ya Gor Mahia na JKU.

Upande wa Simba yeye ataanza mchezo wake wa Kwanza June 4 kwa Kucheza na K Sharks na Simba akifuzu atakutana na Mshindi kati ya AFC Lepards na Singida United.

Bingwa wa Sportpesa Supercup ataenda nchini Uingereza kucheza mechi dhidi ya Everton ambao mwaka jana walitua nchini Tanzania kucheza na Bingwa wa mwaka jana timu ya Gormahia kutoka Kenya.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY