Ratiba ligi Kuu Tanzania Bara VPL Jumatatu 14 May 2018

Ratiba ligi Kuu Tanzania Bara VPL Jumatatu 14 May 2018

0

Ratiba ligi Kuu Tanzania Bara VPL Jumatatu 14 May 2018

Ligi Kuu soka ya Tanzania Bara VPL Itaendelea leo kwa Mchezo mmoja kuchezwa katika uwanja wa Mabatini wilaya ya Mlandizi mkoani Pwani.

Mchezo huo utazikutanisha Ruvu Shooting ambao watakuwa wenyeji wa Stand United chama la wana kutoka mkoani Shinyanga.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY