Ratiba Ligi Kuu VPL Leo 20 May 2018

Ratiba Ligi Kuu VPL Leo 20 May 2018

0

Ratiba Ligi Kuu VPL Leo 20 May 2018

Baada ya Jana kushuhudia Vigogo vya Soka Nchini vikipokea Vichapo, Simba Ikifungwa na Kagera Sugar bao 1 Kwa Sifuri na Yanga ikifungwa na Mwadui 1 kwa 0 leo Ligi Kuu VPL inaendelea.

> Mmoja atemwa Yanga <

Katika uwanja wa Sabasaba timu inayostruggle kutoshuka daraja Njombe Mji itakuwa mwenyeji wa Mtibwa Sugar ambao katika mchezo wa Mwisho walimfunga Yanga bao 1 kwa 0.

> Jiunge na 1XBET upate mara 2 <

Nao Azam Fc wanaopambana kuhakikisha wanachukua nafasi ya Pili watakuwa wenyeji wa Tanzania Prisons mechi Ikianza saa moja usiku Azam Complex.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY