Simba kwenda Kenya leo bila Nyota hawa

Simba kwenda Kenya leo bila Nyota hawa

0

Simba kwenda Kenya leo bila Nyota hawa

Uongozi wa Klabu ya Simba kupitia kwa Afisa habari wake Haji manara umethibitisha kuwa baadhi ya nYota wake muhimu watakosekana katika safari yao ya Kenya.

Wachezaji hao Msomaji wa Kwataunit ni Waghana wanaokipiga katika kikosi cha Simba, Wachezaji hao ni Nicolas Gyan, James Kotei na Asante Kwasi.

Kulingana na Manara  msomaji wa Kwataunit Waghana hao wanaruhusa maalumu kutoka kwa Uongozi wa Simba lakini wachezaji wengine 20 wataenda na Timu akiwemo Mganda Emmanuel Okwi

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY