Siyo Tetesi tena Huyu kashamalizana na Simba

Siyo Tetesi tena Huyu kashamalizana na Simba

0

Siyo Tetesi tena Huyu kashamalizana na Simba

Kama ulifikiri Simba wanatania kwenye usajili wao au ni wazee wa Story Tu basi utakuwa unajidanganya Mwenyewe, Jicho la Simba liliona sawa na baadhi ya Vilabu Vikubwa nchini kwa Nyota wa Maji Maji.

Huyu ndiye mchezaji aliyetangaza Kuondoka Simba

Simba kwa Taarifa za Uhakika msomaji wa Kwataunit tayari wameingia mkataba wa Awali na mchezaji wa Maji Maji Marcel Bonaventure ambaye haongelewi sana lakini ukimtoa Okwi na Bocco ndiye anayefuata kwa upachikaji wa Mabao VPL akiwa na Mabao 13.

Taarifa zinadai Kaheza alisafirishwa na Viongozi wa Simba kutoka Songea mpaka Dar kwaajili ya Mazungumzo na wakakubaliana kwa mkataba wa awali miaka mitatu

HIKI LABDA HUKIJUI KUHUSU MARCEL BONAVENTURE

Ni kwamba mchezaji huyu amewahi kupita katika timu za Vijana za Klabu ya Simba maarufu zaidi kama Simba B kwahiyo haikuwa kazi Ngumu sana kumalizana naye kutokana na Kuwa na Mapenzi na Simba.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY