Tamko la Singida United juu ya tetesi za Hans Van Pluijm Kuondoka

Tamko la Singida United juu ya tetesi za Hans Van Pluijm Kuondoka

0

Tamko la Singida United juu ya tetesi za Hans Van Pluijm Kuondoka

Baada ya Tetesi za muda sasa juu ya Kocha wa Singida United Hans Van Pluijm kuondoka Singida United Uongozi wa Singida United umeibuka na Kutoa Ufafanuzi.

Akiongea nasi leo Mkurugenzi Mtendaji wa Singida United Festo Sanga ameithibitisha kuwa Kocha huyo amewaaga Rasmi kuwa mwisho wa msimu huu ataondoka na wanajivunia kufanya naye kazi.

Pluijm anaondoka Singida United huku kukiwa na Tetesi kuwa ataungana na Kikosi cha Azam Fc ambao kocha wake Mkuu Cioba anatajwa kuwa ataondoka mwisho wa Msimu.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY