Tamko la Yanga baada ya kusikia tetesi za Tshishimbi kwenda Simba

Tamko la Yanga baada ya kusikia tetesi za Tshishimbi kwenda Simba

0

Tamko la Yanga baada ya kusikia tetesi za Tshishimbi kwenda Simba

Leo moja kati ya tetesi ya usajili iliyochukua sana nafasi hususani kwenye mitandao ya Kijamii ilikuwa ni ile ya Papy Tshishimbi kiungo Mcongo wa Yanga kuhusishwa kuwa kwenye rada za Simba.

Uongozi wa Yanga kupitia kwa Afisa Habari wake Dismas Ten umesema Papy bado ni mchezaji wa Yanga na Ndiyo kauli pekee ambayo wao kama Yanga wanaweza kusema kwasasa.

” Jambo pekee naweza kukwambia Papy ni mchezaji wa Yanga alisajiliwa kutumikia Yanga kwa miaka miwili ameshatumikia mwaka mmoja bado mwaka Mmoja. “

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY