Tetesi za Thaban Kamusoko kwenda Azam.. Azam wafunguka haya

Tetesi za Thaban Kamusoko kwenda Azam.. Azam wafunguka haya

0

Tetesi za Thaban Kamusoko kwenda Azam.. Azam wafunguka haya

Wakati kukiwa na Tetesi kuwa Azam Fc wanamipango ya Kusajili wachezaji kadhaa kutoka Zimbabwe wakianza na Donald Ngoma kuna tetesi pia wapo katika mipango ya kumsajili Thaban Kamusoko.

Alichosema Mohammed Rashid kuhusu usajili wake msimu Ujao

Kamusoko  msomaji wa Kwataunit anatajwa kuelekea Azam wakati ambapo kocha wa zamani wa Kamusoko akiwa Yanga Hans Van Pluijm naye anaelekea Azam Fc.

Lakini kaimu mwenyekiti wa Klabu ya Azam Fc ambao ndiyo washindi wapili wa VPL msimu wa 2017/2018  Abdulkarim Amin Popat amesema kuwa hakuna Taarifa kama Hizo mpaka sasa Mchezaji waliyemsajili kutoka Yanga ni Donald Ngoma pekee.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY