Usajili : Lechantre agusia wachezaji atakaowatema Simba

Usajili : Lechantre agusia wachezaji atakaowatema Simba

0

Usajili : Lechantre agusia wachezaji atakaowatema Simba

Kocha Mkuu wa Kikosi cha Mabingwa wapya wa Ligi Kuu Tanzania Bara VPL Mfaransa Pierre Lechantre aliyeiunga Simba akipokea Mikoba ya Mcameron Joseph Omog amedokeza juu ya wachezaji atakawatema kwenye Kikosi.

Lechantre msomaji wa kwataunit amefunguka na Kusema toka ameanza kufundisha Simba aliweka Misingi yake Ambayo kila mchezaji alitakiwa kuifuata.

Na hata wale ambao walikuwa ngumu kidogo kuifuata alijitahidi kwenda nao pamoja lakini wapo ambao wameshindwa kwenda sawa naye kwahiyo wachezaji ambao wameshindwa kubadilika na wameendelea kuwa wavivu na wale ambao  nidhamu zao zimeendelea kuwa mbovu  kwake hawatakuwa kwenye kikosi chake cha msimu Ujao.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY