Usajili : Yanga ametoka Mzimbabwe anaingia Mzimbabwe

Usajili : Yanga ametoka Mzimbabwe anaingia Mzimbabwe

0

Usajili : Yanga ametoka Mzimbabwe anaingia Mzimbabwe

Yanga wapo katika Kipindi cha Kuhakikisha wanafumua Kikosi chao na Kukifanya kuwa na Makali ya Kutosha kwaajili ya Mashindano yote Yajayo ndani Na Nje ya Nchi.

Baada ya Kuthibitika kuwa Yanga imeachana na Mshambuliaji wake Nyota Mzimbabwe Donald Ngoma Kuna Mzimbabwe Mwingine Anatua Yanga.

Mzimbabwe Huyo  msomaji wa Kwataunit ni Tafadzwa Kutinyu ambaye anacheza Singida United, Taarifa za Kuaminika ambazo kwataunit.com imezipata Ni kwamba Kutinyu anaasilimia Kubwa Kutua Yanga licha ya Kutajwa pia Azam Fc.

Kuna Taarifa kuwa Kutinyu anashawishiwa kwenda Azam kwa Kocha Hans Van Pluijm lakini Inadaiwa kuwa Kutinyu anavutiwa zaidi kucheza Yanga kuliko Azam na Kuna Kigogo wa Singida United anatajwa huenda akawasaidia Zaidi Yanga kumpata Kutinyu.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY