Uwanja wa Mkwakwani Kufungwa

Uwanja wa Mkwakwani Kufungwa

0

Uwanja wa Mkwakwani Kufungwa

Meneja wa uwanja wa Mkwakwani Nassoro Makalo amefunguka kuwa uwanja wa Mkwakwani Utafungwa mwezi wa Sita kwaajili ya Matengenezo kabla ya Ligi Kuanza.

Uwanja huo  msomaji wa Kwataunit.com unafungwa kwaajili ya marekebisho ya maeneo kadhaa kama Pitch (Eneo la Kuchezea) , Marekebisho ya vyoo na Marekebisho ya Miundombinu ya Maji.

Uwanja wa Mkwakwani ni moja ya viwanja vitakavyotumika na timu ya Coastal Union ambao wamepanda Ligi Kuu msimu wa 2018/2019.

 

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY