Yanga hawana Utani na Yondani wao

Yanga hawana Utani na Yondani wao

0

Yanga hawana Utani na Yondani wao

Baada ya mwenyekiti wa kamati ya Usajili klabu ya Yanga kuwatoa hofu wapenzi wa Yanga juu ya wachezaji waliomaliza mkataba tayari imeanza Kuonekana kauli ya Nyika ilikuwa inamaanisha kitu mara baada ya Kuanza kazi na Nyota waliomaliza Mkataba ndani ya Yanga

Leo mapema beki wa Kutumainiwa wa Klabu ya Yanga Kelvin Yondani ameonekana ndani ya Makao makuu ya Klabu ya Yanga huku taarifa zikidai kuwa alikwenda kufanya mazungumzo na kamati ya Usajili.

Yondani msomaji wa Kwata Unit  amemaliza Mkataba wake Yanga Inaelezwa alienda kwaajili ya Kufanya mazungumzo ya Kuongeza mkataba wa Kuitumikia Yanga

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY