Yanga wafunguka kinachoendelea kati yao na Lipuli kuhusu Salamba

Yanga wafunguka kinachoendelea kati yao na Lipuli kuhusu Salamba

0

Yanga wafunguka kinachoendelea kati yao na Lipuli kuhusu Salamba

Klabu ya Soka ya Yanga ambao ndiyo wawakilishi pekee waliosalia kimataifa kwasasa wakishiriki kombe la Shirikisho barani Afrika hatua ya Makundi wamefunguka kuhusu kinachoendelea kati yao na Lipuli.

Mkuu wa Kitengo cha habari na mawasiliano Yanga Dismas Ten amesema baada ya kuwaandikia barua Lipuli kwasasa wanachosubiri ni majibu kutoka kwa Lipuli.

” Sisi kama klabu tulishaandika Barua kwenda Lipuli lakini bado hawajajibu lolote, sisi kama klabu jukumu letu tushamaliza tunawasubiri wao “

SIYO SALAMBA PEKEE.

Ten  msomaji wa Kwataunit amesema siyo Adam Salamba pekee bali bali wamefanya hivyo kwa wachezaji watatu ambao walipendekezwa na benchi la Ufundi kwahiyo wanasubiri majibu kutoka sehemu nyingine pia waweze kutumia wachezaji hao kimataifa

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY