Yanga watolea Ufafanuzi kutoweka na Kutopatikana kwa Yondani

Yanga watolea Ufafanuzi kutoweka na Kutopatikana kwa Yondani

0

Yanga watolea Ufafanuzi kutoweka na Kutopatikana kwa Yondani

Kuna Taarifa ambazo siyo rasmi sana zinaenea kuwa mchezaji Kelvin Yondani ametoweka Yanga na Amekuwa hata anapotafutwa na Uongozi wa Yanga amekuwa hapatikani.

Benchi jipya la Ufundi Yanga

Akitolea Ufafanuzi juu ya suala hilo katibu Mkuu wa Yanga Boniface Mkwasa amesema Yondani hajaonekana Yanga kutokana na kusimamishwa na Bodi ya Ligi.

Na hata adhabu yake ilipoisha kuelekea mchezo na Azam Fc barua ililetwa siku moja kabla hali iliyofanya ashindwe kucheza hata katika mchezo huo.

Mkwasa msomaji wa Kwataunit amesema leo baada ya mazoezi uongozi utakaa na wachezaji wote ili kuangalia uwezekano wa kuongeza Mkataba kwa wachezaji ambao wamemaliza Mikataba yao.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY