Yanga yaweka milioni 10 Singida 15 Simba yaweka 25 Kumnasa mchezaji Huyu

Yanga yaweka milioni 10 Singida 15 Simba yaweka 25 Kumnasa mchezaji Huyu

0

Yanga yaweka milioni 10 Singida 15 Simba yaweka 25 Kumnasa mchezaji Huyu

Ukizungumzia wachezaji wenye uwezo mkubwa wa Kuchezea Mpira ndani ya Ligi Kuu basi lazima ulitaje jina la kijana mwenye umri mdogo lakini anauwezo mkubwa sana Uwanjani Tiba George John kutoka Ndanda Fc.

Kuna habari za Kuaminika kuwa Tayari Yanga, Singida United na Simba zimeanza Kumgombea mchezaji huyo mwenye umri wa Miaka 17 Pekee lakini anakipaji cha ajabu.

Yanga ndiyo waliokuwa wa Kwanza kuzungumza naye wakaweka Milioni 10 mezani ili kumnasa, Singida United nao wakaona wasipitwe wakaweka milioni 15 ili kuwazima Yanga.

Lakini Simba nao wamekuja walipotokea na Kuna Taarifa za Uhakika ambazo kwataunit imezipata kuwa Simba wao wapo Tayari kuweka Milioni 25 Kumnasa Tiba John George

Kiungo huyo wa Pembeni msimu huu amefunga mabao manne huku akitoa Assist 6 kwenye klabu yake ya Ndanda

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY