Alichoandika Alikiba baada ya Kichapo kutoka kwa Team Samatta

Alichoandika Alikiba baada ya Kichapo kutoka kwa Team Samatta

0

Alichoandika Alikiba baada ya Kichapo kutoka kwa Team Samatta

Jana ilichezwa mechi kati ya Team Kiba na team Samatta katika uwanja wa Taifa mchezo ikiwa ni kwaajili ya Kuchangia kwenye Elimu.

Katika mchezo Huo team Samatta ilipata Ushindi wa bao 4 kwa 2 dhidi ya Tema Kiba.

Baada ya Mchezo Huo msomaji wa kwataunit  Alikiba ametumia Ukurasa wake wa Instagram kupongeza na Kushukuru Kama inavyoonekana hapo chini.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY