Anapotajwa Kuelekea Vincent Andrew baada ya Kumaliza Mkataba Yanga

Anapotajwa Kuelekea Vincent Andrew baada ya Kumaliza Mkataba Yanga

0

Anapotajwa Kuelekea Vincent Andrew baada ya Kumaliza Mkataba Yanga

Huku kukiwa na Taarifa Kuwa Yanga imeshakaa na baadhi ya Wachezaji wake kuzungumza juu ya Mustakabali wa kuendelea kuitumikia Yanga kwaajili ya Msimu Ujao, Taarifa Mpya Kuhusu Mlinzi wa Kati wa Yanga Vincent Andrew Zimeibuka.

Inaelezwa Kuwa Vincent Andrew hakutokea siku ya Mazungumzo hayo huku kukiwa hakuna sababu ya Moja kwa Moja ya kwanini mchezaji  huyo hakutokea.

Lakini baadhi ya Taarifa msomaji wa Kwataunit  zinadai kuwa Vincent Andrew anahusishwa kutua kati ya Singida United au Azam Fc kwa Kocha Hans Van Pluijm ambaye jana alithibitishwa na Uongozi wa Azam Fc kama kocha wao Mpya.

AHUSISHWA PIA BARANI ULAYA

Lakini kwa Mujibu wa gazeti la Bingwa la Leo ijumaa 1 June 2018 limeandika kuwa Andrew Vincent amepata Timu inayoshiriki ligi Kuu nchini Norway.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY