Azam Fc hawataki Utani waongeza Kifaa Kingine
Timu ya Azam Fc wamefanikiwa kuongeza mchezaji mwingine kwenye kikosi chao kuelekea michuano ya Kagame na Mashindano mengine msimu Ujao.
Azam Imemsajili Nicolas Wakiro Wadada ambaye anatoka katika Klabu ya Vipers, Mchezaji huyu anacheza kama beki wa Kulia akiwa amezaliwa July 23 1994 nchini Uganda