Baada ya Yanga kujitoa CECAFA hawa ndiyo waliopewa nafasi yao

Baada ya Yanga kujitoa CECAFA hawa ndiyo waliopewa nafasi yao

0
Baada ya Yanga kujitoa CECAFA hawa ndiyo waliopewa nafasi yao

Kwa habari za Papo kwa papo Simba,yanga na Nyingine Like Ukurasa wetu wa facebook HAPA

Baada ya Yanga kujitoa CECAFA hawa ndiyo waliopewa nafasi yao

Shirikisho la SOKA Afrika Mashariki na Kati maarufu zaidi kama CECAFA limekubaliana na Yanga kujitoa katika Michuano yake iliyopangwa kuanza June 28 jijini Dar Es Salaam.

Baada ya Yanga kujitoa CECAFA imetangaza timu ya Vipers kutoka nchini Uganda kama timu ambayo itachukua nafasi ya Yanga katika Michuano Hiyo.

Punguza matumizi ya MB downoload App Bora ya Michezo BONYEZA HAPA

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY