Bocco Awabwaga Okwi Na Nyoni Tuzo Za Mchezaji Bora VPL 2017/2018

Bocco Awabwaga Okwi Na Nyoni Tuzo Za Mchezaji Bora VPL 2017/2018

0

Bocco Awabwaga Okwi Na Nyoni Tuzo Za Mchezaji Bora VPL 2017/2018

Usiku wa June 23 zoezi la ugawaji wa tuzo kwa Wachezaji, Makocha, waamuzi bora na wengine wengi waliofanya vyema msimu uliomalizika wa Ligi Kuu Vodacom Tanzania Bara VPL limekamilika.

Zoezi hilo la ambalo lilianza kwa  kupiga kura lilihusisha Makocha wa klabu za Ligi Kuu,Manahodha na Wahariri wa Habari za Michezo.

Wachezaji 3 waliingia kwenye kinyang’anyiro cha kuwania tuzo ya mwanasoka bora  VPL na mmoja wao kuibuka kidedea, Wachezaji hao ni  Emmanue Okwi, John Bocco na Erasto Nyoni wote wa Simba. Katikia kipengere hiki aliyeibuka Kidedea ni John Bocco.

Ukimuuliza Ali Ali nani anafaa kuwa mchezaji bora vpl atamtaja huyu

Aidha vipengere vingine vilivyokuwa vikiwaniwa ni pamoja na:

1.Mshindi wa tuzo nafasi ya nne VPL 2017/2018 Tz Prison

2. Mshindi wa tuzo nafasi ya tatu VPL 2017/2018 Yanga sc

3. Mshindi wa tuzo nafasi ya pili VPL 2017/2018 Azam fc

4. Mshindi wa tuzo nafasi ya kwanza VPL 2017/2018 ni Simba sc

5.Tuzo ya mfungaji bora wa mwaka VPL 2017/2018 imekwenda kwa Emanuel Okwi

6. Timu yenye nidhamu VPL 2017/2018 ni Mtibwa Sugar

7.Mchezaji anayechipukia chini ya umri wa miaka 20 ni Abuu Juma kutoka (Mtibwa sugar)

8.Mchezaji bora chipukizi VPL 2017/218 ni Habibu kiombo

9. Mwamuzi bora VPL2018/2018 ni Elly Sasii

10. Kipa bora wa mwaka VPL 2017/2018 ni Aishi Salum Manula kutoka (Simba sc)

11.Mwamuzi bora msaidizi VPL 2017/2018 ni Hellen Mduma

12. Kocha bora wa mwaka VPL 2017/2018 ni Abdallah Mohammed Balesi kutoka (Tz Prison)

13. Bao bora la msimu VPL 2017/2018 ni la Shabani Idd Chilunda (Azam fc)

Kikosi bora cha msimu VPL 2017/2018

1. Aishi Manula
2. Hassan Kessy
3. Shafiq Batambuzi
4. Erasto Nyoni
5. Kelvin Yondan
6. Patrick kabamba Tshishimbi
7. Shiza Ramadhan kichuya
8. Tafadzwa kotinyu
9. John Bocco
10. Emanuel Okwi
11. Marcel kaheza

Tuzo ya Heshima imekwenda kwa *Nicola Edward Apitenda

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY