Chirwa awajibu haya Yanga baada ya Kuulizwa Kuhusu Usajili

Chirwa awajibu haya Yanga baada ya Kuulizwa Kuhusu Usajili

0

Chirwa awajibu haya Yanga baada ya Kuulizwa Kuhusu Usajili

Obrey Chirwa ni moja kati ya wachezaji ambao mikataba yao imemalizika Yanga akiwa sawa na Nyota wengine kama Said Juma Makapu, Kelvin Yondani, Mwashiuya Gofrey, Hassan Kessy, Juma Abdul na wengineo.

Uongozi wa Yanga msomaji wa KWATAUNIT  kupitia kwa mwenyekiti wa Kamati ya Usajili lakini pia akiwa ndiye mwenyekiti wa kamati ya Mashindano Hussein Nyika umesema Kuwa umezungumza na Chirwa.

Tetesi za Usajili Yanga 31 may 2018

Na Msimamo wa Chirwa baada ya Kuulizwa kuhusu kuongeza Mkataba Yanga aliwaambia Kuwa ataipa Yanga kipaumbele kusikiliza ofa yao ndipo aangalie timu nyingine zinazomwitaji.

“Tumeongea na Chirwa kuhusu kuongeza mkataba na amesema Yupo tayari kuzungumza, Kasema anatupa sisi first Priority (Kipaumbele)  ndipo asikilize ofa nyingine ”  alisema Nyika

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY