Deal Done: Madrid Wakamilisha Usajili Wa Kinda Huyu Kutoka Ukraine

Deal Done: Madrid Wakamilisha Usajili Wa Kinda Huyu Kutoka Ukraine

0
Deal Done: Madrid Wakamilisha Usajili Wa Kinda Huyu Kutoka Ukraine
Madrid Spain: Klabu ya Real Madrud imekamiliiha usajili wa Golikipa kinda Andriy Lunin kutoka kunako klabu ya Zorya Luhansk kwa kandarasi ya miaka 6.
Mabingwa hao wa Ulaya wamefikia makubaliano ya pamoja na klabu ya Zorya Luhansk kumsainisha kinda huyo raia wa Ukraine  mwenye umri wa miaka 19.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY