Deus Kaseke sasa Kucheza Huku baada ya Singida United
Kiungo wa Klabu ya Singida United Deus Kaseke inaelezwa kuwa msimu Ujao hatakuwa moja kati ya wachezaji wa Singida United.
Kwa Mujibu wa mkurugenzi wa Singida United Festo Sanga amesema Deus Kaseke amepata timu nchini Afrika Kusini hivyo hatakuwepo kwenye kikosi chao licha ya Kuwa bado kuna Usiri wa Klabu gani hasa anaelekea Kaseke
Kaseke siku kadhaa zilizopita alikuwa ni moja ya wachezaji ambao walikuwa wakitajwa kumfata Kocha Hans Van Pluijm Azam Fc