Gor Mahia wazidi kuweka Rekodi kwa Magoli tu usipime

Gor Mahia wazidi kuweka Rekodi kwa Magoli tu usipime

0

Kwa habari za Papo kwa papo Simba,yanga na Nyingine Like Ukurasa wetu wa facebook HAPA

Gor Mahia wazidi kuweka Rekodi kwa Magoli tu usipime

Ushindi wa Bao 5 kwa 0 Walioupata Gor Mahia dhidi ya Post Rangers leo umeifanya kuendeleza Rekodi ya ushindi katika Michuano mbali mbali.

Ushindi wa leo ni wa 10 Mfululizo kwa Gor Mahia katika mashindano tofauti.

Mechi 5 za Ligi kuu ya Kenya, Mechi 3 za Sportpesa Super Cup na mechi 2 za Shield Cup.

IDADI YA MAGOLI USIPIME, WAMEFUNGA MENGI WAMEFUNGWA KIDUCHU.

Katika kipindi cha  siku 30 pekee  msomaji wa Kwataunit.co.ke Gor Mahia waite K’Ogalo kwa jina jingine maarufu wamefanikiwa kuweka Kambani Jumla ya 32 ya Kufunga huku wao wakiwa wamefungwa magoli mawili pekee.

Punguza matumizi ya MB downoload App Bora ya Michezo BONYEZA HAPA

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY