Habari Mpya kutoka Yanga usiku huu

Habari Mpya kutoka Yanga usiku huu

0

Habari Mpya kutoka Yanga usiku huu

Klabu ya Yanga kupitia kwa afisa habari wa Timu hiyo Dismas Ten amefunguka na kusema kuwa timu imeanza mazoezi leo rasmi kujiandaa na mchezo dhidi ya Gor Mahia kombe la shirikisho barani Afrika.

IDADI YA WACHEZAJI WALIOHUDHURIA WALIOKUWA MSIMU ULIOPITA.

Dismas Ten msomaji wa Kwataunit.co.ke amesema wachezaji 8 waliokuwa msimu uliopita wamehudhuria mazoezi ya Leo yaliyoanza chini ya Kocha mwinyi Zahera.

IDADI YA WACHEZAJI WAPYA WALIOKUJA KUFANYA MAJARIBIO

Kwa Mujibu wa Dismas Ten jumla ya wachezaji 14 wapya wamehudhuria mazoezi ya leo kwaajili ya majaribio na kama

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY