Habari Mpya na Njema kutoka Simba leo 2 June 2018

Habari Mpya na Njema kutoka Simba leo 2 June 2018

0

Habari Mpya na Njema kutoka Simba leo 2 June 2018

Klabu ya Simba kwasasa ipo nchini Kenya kwaajili ya Michuano ya Sportpesa Super Cup michuano ambayo inachezwa huko mjini Nakuru.

Kaimu mwenyekiti wa Klabu ya Simba Salim Abdallah Try Again amesema kuwa Kikosi cha Simba kesho kilichopo huko Kenya kitaongezewa wachezaji watatu ambao hawakuwepo kwenye list ya mwanzo.

Try Again amesema hatawaja majina lakini kesho kuna wachezaji watatu wataungana na wenzao katika Kikosi cha Simba ili kuzidi Kuimarisha kikosi cha Simba

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY