Habib Kiyombo asaini Singida United

Habib Kiyombo asaini Singida United

0

Kwa habari za Papo kwa papo Simba,yanga na Nyingine Like Ukurasa wetu wa facebook HAPA

Habib Kiyombo asaini Singida United

Mchezaji wa Timu ya Mbao Fc ya jijini Mwanza Habib Haji Kiyombo ambaye pia Ni mfungaji bora wa Michuano ya Azam Sports Federation Cup akiwa na Magoli 6 leo ametambulishwa kama Mchezaji wa Singida United.

Kiyombo ametambulishwa rasmi na Singida United mara baada ya mchezo wa Fainali kati ya Singida United na Mtibwa Sugar ulioisha kwa Mtibwa Kushinda kwa 3 kwa 2.

Punguza matumizi ya MB downoload App Bora ya Michezo BONYEZA HAPA

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY