Harambee Stars yarejea Kenya ikitokea India kwenye michuano maalum

Harambee Stars yarejea Kenya ikitokea India kwenye michuano maalum

0

Harambee Stars yarejea Kenya ikitokea India kwenye michuano maalum

Timu ya Taifa ya kenya , Harambee Stars imerejea nchini Kenya kutoka kwenye mashindano Maalum yaliyokuwa yanafanyika nchini India Hero International Cup

Katika Michuano hiyo Timu ya Kenya imeshika nafasi ya 2 baada ya Kufungwa Fainali na Timu ya Taifa ya india (Wenyeji)

MATOKEO YA MECHI ZOTE ILIZOCHEZA KENYA IKIWA INDIA

Kenya 2-1 New Zealand (June 2, 2018)

Kenya 0-3 India (June 4, 2018)

Kenya 4-0 Chinese Taipei (June 8, 2018)

Final

India 2-0 Kenya (June 10, 2018)

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY