Hii hapa Sajili nyingine iliyokamilika Ligi Kuu VPL

Hii hapa Sajili nyingine iliyokamilika Ligi Kuu VPL

0

Hii hapa Sajili nyingine iliyokamilika Ligi Kuu VPL

Klabu ya Mtibwa Sugar ya Mkoani Morogoro imefanikiwa kumsajili mchezaji kutoka Kagera Sugar Jaffar Salum Kibaya.

Mtibwa Sugar wamefanikiwa kumsainisha Kibaya mkataba wa Miaka 2 kucheza Mtibwa Sugar.

Kibaya amewahi pia Kupita katika timu Ya mtibwa Sugar kabla ya kwenda Kagera Sugar na kuwa moja ya wachezaji tegemeo kwenye Kikosi cha Mexime katika safu ya Ushambuliaji.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY