Huyu Ndiye Straika Mbenin aliyetua nchini na Kusaini Yanga miaka 2

Huyu Ndiye Straika Mbenin aliyetua nchini na Kusaini Yanga miaka 2

0

Kwa habari za Papo kwa papo Simba,yanga na Nyingine Like Ukurasa wetu wa facebook HAPA

Huyu Ndiye Straika Mbenin aliyetua nchini na Kusaini Yanga miaka 2

Taarifa za Uhakika ambazo kwataunit.com imezipata ni kwamba Yanga ambayo inajinadi kwa kufanya usajili wa Kimya kimya lakini wa uhakika kuelekea msimu Ujao imedaka saini ya Straika aliyekuwa kwenye rada zao kitambo.

Straika kutokea Benin akicheza katika klabu ya Buffles du Borgou  Marcelin Koupko anadaiwa ameshatua Nchini toka Jana na ameshaingia Mkataba wa Kuitumikia Yanga miaka 2.

Taarifa zaidi zinasema Straika huyo huenda akaungana na Kikosi cha Yanga kilichopo nchini Kenya kwaajili ya Michuano ya Sportpesa.

Punguza matumizi ya MB downoload App Bora ya Michezo BONYEZA HAPA

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY