Kauli ya Simba kuhusu usajili wa Pascal Wawa

Kauli ya Simba kuhusu usajili wa Pascal Wawa

0

Kauli ya Simba kuhusu usajili wa Pascal Wawa

Klabu ya Simba ya Jijini Dar Es Salaam imezidi kuwaweka watani wao wa Jadi Yanga katika mazingira ya kuendelea kuwaumiza kwani kila mchezaji muhimu ambaye amekuwa akitajwa Yanga wao wamekuwa wakizungukia upande wa pili na Kumalizana naye.

Ukianzia kwa Straika wa Lipuli Fc Adam Salamba hata Kaheza aliwahi kuhusishwa Yanga kabla ya Kumalizana na Simba na sasa taarifa zinaelezwa kuwa Pascal Wawa naye aliyekuwa akitajwa Yanga naye kashanasa mikononi mwa Simba.

KAULI YA SIMBA KUHUSU PASCAL WAWA

Uongozi wa Simba kupitia kwa Mmoja ya wajumbe wa kamati ya Utendaji Said Tully amezungumzia kuhusu ishu ya Usajili wa Pascal Wawa na Kueleleza kuwa watazungumzia Kila kitu kuhusu Usajili wake baada ya michuano ya Kagame.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY