Kikosi cha Yanga dhidi ya Homeboys leo 3 June 2018

Kikosi cha Yanga dhidi ya Homeboys leo 3 June 2018

0

Kikosi cha Yanga dhidi ya Homeboys leo 3 June 2018

Hiki hapa Kikosi cha Yanga kinachoanza dhidi ya Homeboys leo 3 June 2018 michuano ya Sportpesa Super Cup inayofanyika Nchini Kenya.

Mechi kati ya Yanga na Homeboys inachezwa katika uwanja wa Afraha huko nchini kenya.

 1. Youthe Rostand
 2. Hassan Kessy
 3. Mwinyi Haji
 4. Abdallah Shaibu Ninja
 5. Said Makapu
 6. Maka Edward Mwakaluka
 7. Juma Hassan Mahadhi
 8. Papy Kabamba Tshishimbi
 9. Matheo Anthony
 10. Pius Buswita
 11. Baruan Akilimali

Katika kikosi cha Akiba wapo Ramadhan kabwili, Pato Ngonyani, Raphael Daudi Loth, Yusuph Mhilu, Yohanna Mkomola, Thaban kamusoko, Amis Tambwe na Said Mussa.

 

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY