Kiungo wa AFC Leopards atajwa Usajili Yanga

Kiungo wa AFC Leopards atajwa Usajili Yanga

0

Kiungo wa AFC Leopards atajwa Usajili Yanga

Kiungo wa AFC Leopards Wyonne Isuza ni moja kati ya wachezaji ambao wanatajwa kuwa kwenye rada za Yanga za Usajili kwaajili ya msimu ujao.

Wyvonne Isuza ni moja kati ya wachezaji ambao inadaiwa Yanga walianza kumpigia hesabu toka wakati wa mashindano ya CECAFA SENIOR CHALLENGE yaliyofanyika mwaka jana nchini Kenya Na Kenya kuwa Mabingwa wa michuano hiyo ambapo Isuza alikuwa moja ya wanajeshi waliyoiongoza Kenya.

Wyvonne Isuza  msomaji wa kwataunit.com mpaka sasa katika Ligi ya Kenya ameshafunga Mabao 8 huku na anayeongoza kwa mabao akiwa na Mabao 11 Elvis Rupia wa Nzoia Sugar.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY