Kocha Gor Mahia apagawa na Uwezo wa Mtanzania Huyu

Kocha Gor Mahia apagawa na Uwezo wa Mtanzania Huyu

0

Kocha Gor Mahia apagawa na Uwezo wa Mtanzania Huyu

Kocha Mkuu wa Gor Mahia ya Kenya Muingereza Dylan Kerr ambaye ameifikisha Gor katika hatua ya Fainali Sportpesa Super Cup kwa mara ya Pili Mfululizo amekunwa na uwezo wa Mtanzania.

Kerr ambaye amewahi kuwa kocha wa Simba kwa Miezi 6 ametaja jina la Danny Lyanga  mchezaji wa Singida United kuwa ni moja ya Mchezaji aliyemvutia mara baada ya Kumuona akicheza.

Kerr amepongeza Kiwango cha Lyanga kwa kusema anauwezo mzuri wa Kucheza, Kasi na upambanaji wake anapokuwa Uwanjani na Kama angejua mapema kuwa alishatoka Uarabuni basi angemsajili ndani ya Kikosi cha Gor Mahia.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY