Kocha Zahera Apanga Kuisambaratisha Yanga Na Kufanya Usajili Huu.

Kocha Zahera Apanga Kuisambaratisha Yanga Na Kufanya Usajili Huu.

0

Kocha Zahera Apanga Kuisambaratisha Yanga Na Kufanya Usajili Huu.

Kocha mkuu wa klabu ya Yanga, Mwinyi Zahera amepanga kuisambaratisha klabu hiyo na kuleta wachezaji kutoka nchi tatu tofauti.

Kwenye mahojiano yake na moja ya redio maarufu nchini, Zahera amesema kikosi cha Yanga kinatarajiwa kuwa na mabadiliko kiasi.

Zahera amesema wamekusudia kusajili wachezaji hadi saba wapya ambao ana uhakika wataongeza nguvu katika kikosi cha Yanga.

Amesema miongoni mwao wapo wachezaji wa Kimataifa kutoka nchi za Zambia, Congo Brazzaville, DRC na Nigeria.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY