Majibu Yanga kushiriki Kagame baada ya Kupewa saa48 na Karia

Majibu Yanga kushiriki Kagame baada ya Kupewa saa48 na Karia

0

Majibu Yanga kushiriki Kagame baada ya Kupewa saa48 na Karia

Mara baada ya Yanga kuiandikia TFF barua ya kujiondoa kwenye michuano ya Kagame iliyopangwa kuanza June 28 mwaka Huu  Dar Es Salaam, Rais wa TFF aliwapa Yanga saa 48 Kujitathmini.

Baada ya saa 48 Kupita Yanga wamekuja na Majibu yao kupitia katibu Mkuu Boniface Mkwasa

”Sisi tumeisha jitathimini ndani ya saa 48 tuna wachezaji 7 wenye mkataba tu na klabu na timu B inashiriki michuano ya kombe la Uhai inayofanyika Dodoma hivyo hatuna kikosi kwa sasa cha kushiriki michuano ya kombe la Kagame. Tupo katika mazungumzo na wachezaji waliomaliza mikataba na wengine wapya kuijenga timu upya ili kujiandaa na michezo ya Kombe la Shirikisho ”

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY