Makundi Uhai Cup 2018 Timu za Vijana U20

Makundi Uhai Cup 2018 Timu za Vijana U20

0

Makundi Uhai Cup 2018 Timu za Vijana U20

Droo ya Kupata Makundi kombe la Uhai 2018 kwa Timu za Vijana chini ya Miaka 20 imefanyika na Michuano hiyo Itaanza June 9 2018 huko Dodoma katika viwanja vya UDOM.

Timu zitakazoshiriki ni zile zile zilizoshiriki ligi kuu Tanzania Bara msimu wa  2017/2018 na Zimepangwa katika Makundi manne yenye timu 4 kila Moja.

KUNDI A

 1. Yanga
 2. Ruvu Shooting
 3. Mbeya City
 4. Mbao Fc

KUNDI B

 1. Simba Sc
 2. Singida United
 3. Stand United
 4. Njombe Mji

kundi c

 1. Azam Fc
 2. Mwadui Fc
 3. Maji Maji
 4. Mtibwa Sugar

KUNDI D

 1. Tanzania Prisons
 2. Lipuli
 3. Kagera Sugar
 4. Ndanda

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY