Makundi ya CECAFA Kagame Cup 2018 haya hapa

Makundi ya CECAFA Kagame Cup 2018 haya hapa

0

Makundi ya CECAFA Kagame Cup 2018 haya hapa

Katibu mkuu wa CECAFA Nicolas Musyonye ametangaza makundi ya CACAFA Kagame Cup kwa mwaka huu 2018 mashindano yatakayoanza June 28 mpaka July 13 Mwaka huu.

Katika Makundi hayo Simba na Yanga zimekutana katika Kundi moja wapo kwenye Kundi C kwahiyo Tunatarajia kushuhudia Dabi nyingine ya Simba na Yanga uwanja wa Taifa Mwaka Huu kwenye Michuano ya CECAFA Kagame Cup

KUNDI A

Azam FC (Tanzania Bara)

JKU (Zanzibar)

Kator (Sudan Kusini)

Uga (Uganda).

KUNDI B

Rayon (Rwanda)

Gor Mahia (Kenya)

Ports (Djibout)

Lydia (Burundi).

KUNDI C

Yanga (Tanzania Bara)

Simba (Tanzania Bara)

Dakadaha (Somalia)

St George (Ethiopia)

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY