Manura Aweka Rekodi Mpya VPL

Manura Aweka Rekodi Mpya VPL

0

Manura Aweka Rekodi Mpya VPL

Golikipa wa klabu ya Simba Sc, Aishi Manula ameweka rekodi ya kuwa golikipa wa kwanza kushinda tuzo ya golikipa bora wa Msimu wa ligu kuu Tanzania Bara (vpl) kwa misimu mitatu mfululizo.

Tetesi za Usajili Simba leo 14 June 2018

Manula alishinda tuzo hiyo akiwa na timu mbili tofauti kwnye msimu wa 2015/16 na 2016/17 akiwa na Azam Fc na 2017/18 akiwa na Simba Sc.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY