Marcelin Koupko wa Yanga atua Nchini

Marcelin Koupko wa Yanga atua Nchini

0

Marcelin Koupko wa Yanga atua Nchini

Yule Straika wa Timu ya Taifa ya Benin MarceliN KOUPKO ametua Nchini tayari kwa kazi moja tu ya Kusaini kucheza katika Klabu ya Yanga.

Marcelin Koupko alikuwa asaini Yanga toka wakati wa dirisha dogo lakini mambo hayakuwa mambo kutokana na Timu yake ya Huko Benin kuwa bado inamkataba naye na Haikutaka Kumwachia.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY