Matokeo Argentina vs Croatia 21 June 2018

Matokeo Argentina vs Croatia 21 June 2018

0

Kwa habari za Papo kwa papo Simba,yanga na Nyingine Like Ukurasa wetu wa facebook HAPA

Matokeo Argentina vs Croatia 21 June 2018

Timu ya Taifa ya Argentina Imejikuta Ikiangukia Pua mara baada ya kukubali kipigo cha mabao matatu kwa 0 mbele ya Croatia.

Mabao ya Croatia katika mchezo huo yalifungwa na  Ante Rebic,

Luka Modric na Ivan Rakitic.
Punguza matumizi ya MB downoload App Bora ya Michezo BONYEZA HAPA

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY