Matokeo Brazil vs Costa Rica 22 June 2018

Matokeo Brazil vs Costa Rica 22 June 2018

0

Kwa habari za Papo kwa papo Simba,yanga na Nyingine Like Ukurasa wetu wa facebook HAPA

Matokeo Brazil vs Costa Rica 22 June 2018

Mara baada ya Kuanza vibaya kombe la Dunia kwa Kutoa sare ya bao 1 kwa 1 dhidi ya Switzerland timu ya Brazil leo imefanikiwa kupata Ushindi mbele ya Costa Rica.

Ratiba Kombe la Dunia Leo

Magoli ya Brazil yamefungwa na Philippe Coutinho na Neymar Dos Santos katika dakika za Mwisho za Mchezo huo na Kuwafanya Brazil kukaa Kilelleni kwa Muda wakiwa na Points zao 4.

Endapo baadae Serbia atashinda dhidi ya Switzerland basi atafikisha alama 6 na atamtoa Brazil kileleni kwani mpaka sasa Serbia wanapoints 3 kwenye msimamo huku Costa Rica akiendelea kuvuruta Mkia akiwa hana Points nafasi ya tatu yupo Switzerland akiwa na Points 1.

Punguza matumizi ya MB downoload App Bora ya Michezo BONYEZA HAPA

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY