Matokeo Brazil vs Switzerland 17 June 2018

Matokeo Brazil vs Switzerland 17 June 2018

0

Matokeo Brazil vs Switzerland 17 June 2018

Kipindi cha Kwanza

Brazil wanatoka wakiwa Kifua Mbele kwa bao moja kwa Sifuri bao likipatikana dakika ya 20 ya mchezo kupitia kwa Philippe Coutinho akipiga Shuti la Mbali.

HALF TIME

Brazil 1 – 0 Switzerland

KIPINDI CHA PILI

Switzerland wanapata bao dakika ya 50 Kupitia kwa Steven Zuber na Kufanya matokeo kuwa ya Sare kwa sasa, Brazil 1 – 1 Switzerland.

Mechi kati ya Brazil na Switzerland ni dakika ya 60 bado ni 1 kwa 1

Dakika ya 65

Brazil 1 – 1 Switzerland

Dakika ya 70 Bado 1 kwa 1

Dakika ya 75

Brazil 1 – 1 Switzerland

Dakika ya 85

Brazil 1 – 1 Switzerland

FULL TIME

Brazil 1 – 1 Switzerland

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY