Matokeo Croatia vs Iceland 26 June 2018

Matokeo Croatia vs Iceland 26 June 2018

0

Kwa habari za Papo kwa papo Simba,yanga na Nyingine Like Ukurasa wetu wa facebook HAPA

Matokeo Croatia vs Iceland 26 June 2018

KIPINDI CHA KWANZA

Kipindi cha Kwanza mchezo kati ya Croatia na Iceland umemalizika kwa sare ya bila Kufungana.

KIPINDI CHA PILI

Katika dakika ya 59  Milan Badelj wa Croatia anaipatia Timu yake bao la Kuongoza.

Dakika ya 70

Croatia 0 – 0 Iceland.

Dakika ya 79 Iceland wanachomoa Goli na Kufanya Matokeo kuwa 1 kwa 1, Bao likifungwa na Gylfi Sigurdsson

Dakika ya 80

Croatia 1 – 1 Iceland.

FULL TIME

Croatia 2 – 1 Iceland

Punguza matumizi ya MB downoload App Bora ya Michezo BONYEZA HAPA

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY