Matokeo Gor Mahia vs Singida United 7 June 2018 Sportpesa

Matokeo Gor Mahia vs Singida United 7 June 2018 Sportpesa

0

Matokeo Gor Mahia vs Singida United 7 June 2018 Sportpesa

Matokeo Michuano ya Sportpesa kati ya Gor Mahia Mabingwa watetezi dhidi ya Singida United wawakilishi kutoka Tanzania Bara (Matokeo Gor Mahia vs Singida United)

Mechi Imeanza

Gor Mahia 0 – 0 Singida United

Dakika ya 3 Gor Mahia wameanza kucheza kwa kasi wakitengeneza nafasi

Dakika ya 7 Danny Lyanga anaweka Krosi Safi Diaby Amara anachelewa kupiga Golini beki anaosha

Dakika ya 8 Meddie Kagere anashindwa kuweka Mpira Nyavuni alibaki anatazamana na Kipa Manyika Jr. anapiga shuti la kuanua nazi

Dakika ya 10

Gormahia 0 – 0 Singida United, mechi ni ya Kasi na Gor Mahia wanaonekana kuukamata zaidi mchezo

Dakika ya 16 Deus Kaseke anawekewa Mpira mzuri anajaribu nje ya 18 , Mpira Unatoka nje ya Lango

Dakika ya 18 Kona Kuelekea Singida United, Inapigwa inaokolewa

Dakika 20

Gor Mahia 0 – 0 Singida United

Dakika ya 25 Bado 0 kwa 0 na Mvua IMEANZA KUNYESHA uwanjani

Dakika ya 34 Deus Kaseke anapiga Mpura Unagonga mwamba wa Juu na Kurudi, Bado 0 – 0

Dakika ya 35 Meddie Kagere anaipatia bao Gor Mahia kwa Mpira wa Kichwa kufuatia mpira wa Kona.

Gor Mahia 1 – 0 Singida United

Dakika ya 38 Mabeki wa Singida wanawasahau washambuliaji wa Gor Mahia wanaruka Free header, wanakoswa bao

HALF TIME

Gor Mahia 1 – 0 Singida United (35′ Meddie Kagere)

KIPINDI CHA PILI

Gormahia 1 – 0 Singida United, Mtanange Unaendelea

Dakika ya 47 Gor Mahia wanafanya shambulizi lakini mpira Unapigwa mrefu na Kuvuka Goli

Dakika ya 50 Anatoka Tibar George anaingia Lubinda Mundia upande wa Singida United

Dakika ya 60

Gormahia 1 – 0 Singida United (35′ Meddie Kagere)

Dakika ya 62 Sportpesa Supercup 2018 Juma Kennedy anapewa kadi ya Njano

Dakika ya 65

Gormahia 1 – 0 Singida United (35′ Meddie Kagere)

Dakika ya 69 anatoka Kenny Ally Mwambungu anaingia Salum Chuku

Dakika ya 70 Manyika anaokoa mpira Uliopigwa na George Odhiambo Blackberry

Dakika ya 80

Gormahia 1 – 0 Singida United (35′ Meddie Kagere)

Dakika ya 85 Deus Kaseke anaonekana Kuumia timu yake ikiwa Nyuma kwa bao 1 kwa 0

Yusuph Kagoma anatoka anaingia Santos yule Mbrazil aliyesajiliwa juzi kati.

Dakika ya 89 Meddie Kagere anapiga shuti la Mbali na Kuipatia Gor Mahia goli la Pili.

Gor Mahia 2 – 0 Singida United (39′ 89′ Meddie Kagere)

FULL TIME

Gor Mahia 2 – 0 Singida United (39′ 89′ Meddie Kagere)

FAINALI ITAKUWA KATI YA GOR MAHIA DHIDI YA SIMBA JUMAPILI

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY