Matokeo Kagame Cup Azam vs Kator leo 29 June 2018

Matokeo Kagame Cup Azam vs Kator leo 29 June 2018

0

Matokeo Kagame Cup Azam vs Kator leo 29 June 2018

Timu ya Azam Fc ya Jijini Dar Es Salaam ikicheza katika uwanja wake wa Nyumbani wa Azam Complex imeanza vyema michuano ya Kagame Cup 2018.

Azam Fc imefanikiwa kupata ushindi wa bao 2 kwa 1 dhidi ya Kator ya Sudan Kusini. Mabao ya Azam Fc yametiwa Kimyani na Shaban Iddi Chilunda

Baadae kutakuwa na Mechi ya Singida United itakayokuwa inacheza na APR kutoka Rwanda mechi ikianza saa mbili kamili Usiku.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY