Matokeo Kagame Cup Singida United vs APR 29 June 2018

Matokeo Kagame Cup Singida United vs APR 29 June 2018

0

Matokeo Kagame Cup Singida United vs APR 29 June 2018

Matokeo mechi ya 3 kwa Leo Kati ya Singida United wanaoshiriki kwa Mara ya Kwanza dhidi ya APR ambao ni mabingwa mara 3 wa michuano hiyo .

KIPINDI CHA KWANZA.

Dakika ya 30

Singida United 1 – 0 APR ( Bao la Singida United limefungwa na Habib Haji kiyombo dakika ya 7)

Mpira Ni mapumziko katika uwanja wa Taifa Jijini Dar Es Salaam kati ya Singida United dhidi ya APR ya Rwanda , Matokeo yakiwa 1 kwa Singida United na 0 kwa APR, Bao Likifungwa na Habib Haji Kiyombo.

HALF TIME

Singida United 1 – 0 APR.

KIPINDI CHA PILI

Dakika ya 47, Singida United ya Tanzania  1 – 0 APR ya Rwanda

Dakika ya 50 APR wanajitahidi kutengeneza nafasi kadhaa lakini  bado safu ya Ulinzi ya Singida United inakuwa Kikwazo.

Dakika ya 54 Danny Lyanga anajaribu shuti la mbali mpira unapita nje kidogo ya lango

Dakika ya 60 ya Mchezo kati ya Singida United dhidi ya APR.

Singida United 1 – 0 APR (7′ Habib Kiyombo)

Dakika ya 66 APR wanajaribu shambulizi hatari langoni mwa Singida United, kipa Manyika Peter Jr anaudaka Mpira

Dakika ya 69 Kipa wa APR yupo chini baada ya kuonyesha ishara kuwa hayuko sawa.

Dakika ya 72 Kipa wa APR anashindwa kuendelea na mchezo baada ya kuumia, Anaingia Kipa mwingine

Dakika ya 80

Singida United 1 – 0 APR (7′ Kiyombo)

Goaaaaaal John Tibar George anafunga mpira kwa kona aliyoipiga , Kipa wakati anajitahidi kuokoa ikamzidia

Singida United 2 – 0 APR

Dakika ya 90+4 APR wanapata bao

Singida United 2 – 1 APR

FULL TIME

Singida United 2 – 1 APR

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY