Matokeo Kagame JKU vs Vipers leo 29 June 2018

Matokeo Kagame JKU vs Vipers leo 29 June 2018

0

Kwa habari za Papo kwa papo Simba,yanga na Nyingine Like Ukurasa wetu wa facebook HAPA

Matokeo Kagame JKU vs Vipers leo 29 June 2018

Mchezo wa Ufunguzi wa kombe la Kagame Cup maarufu zaidi kama CECAFA KAGAME CUP 2018 kati ya Jeshi la Kujenga Uchumi JKU ya Zanzibar na Vipers ya Uganda umemalizika kwa Sare.

Licha ya JKU kuanza kupata bao mapema Kipindi cha Kwanza dakika ya 16 wamejikuta wakisawazishiwa bao na Vipers na Matokeo kumalizika kwa sare ya bao 1 kwa 1.

JKU (Zanzibar) 1-1 Vipers (Uganda)

Punguza matumizi ya MB downoload App Bora ya Michezo BONYEZA HAPA

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY