Matokeo Kombe la Dunia 14 June 2018 Urusi vs SaudiArabia

Matokeo Kombe la Dunia 14 June 2018 Urusi vs SaudiArabia

0

Matokeo Kombe la Dunia 14 June 2018 Urusi vs SaudiArabia

Michuano ya KOMBE la dunia 2018 imeanza leo nchini Urusi kwa Wenyeji Urusi (Russia) kuanza Vyema kwa Kupata Ushindi wa Bao 5 kwa 0 wakicheza mbele ya Mashabiki wao wakiongozwa na Rais wa Nchi Vladmir Putin

Magoli ya Urusi yamefungwa na Yuri Gazinskiy dakika ya 12, Denis Cheryshev dakika ya 43, Na Katika Kipindi cha Pili Kuongeza mabao matatu kupitia kwa Artem Dzyuba Dakika ya 71 Na Chuma cha nne kikiwekwa na  Denis Cheryshev dakika za Nyongeza

Wakati Wa Saudi wakijua game Imeisha Aleksandr Golovin aliongeza bao la tano na Kufanya wenyeji kushinda kwa bao 5 kwa 0.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY