Matokeo Ligi Kuu ya Kenya leo 12 June 2018

Matokeo Ligi Kuu ya Kenya leo 12 June 2018

0

Matokeo Ligi Kuu ya Kenya leo 12 June 2018

Ligi Kuu ya Kenya Maarufu zaidi kama Sportpesa Premier League imeendelea leo kwa Michezo miwili kati ya Chemelil waliokuwa Nyumbani kuwakaribisha Bandari.

Na Mchezo wa Pili ukiwa kati ya Vihiga waliokuwa wenyeji wa Zoo Fc, Katika Mechi hizo zimeshuhudia wenyeji wa Michezo Chemelil na Vihiga wakipoteza kwa bao 1 kwa 0.

  1. Chemelil 0-1 Bandari
  2. Vihiga 0-1 Zoo FC

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY